Kama tulivyosema mwanzo sokoni zimeingia sinema nyingi, kati ya hizo sinema kumi zimetokea kupendwa na watu wengi sana. Tafiti za kupendwa kwa sinema hizo zilizofanyika katika mkoa wa Dar es Salaam na Arusha kwa wauzaji wa maduka ya jumla na maduka ya rejareja, sambamba na wauzaji wanaotembeza mitaani maarufu kwa jina la wamachinga.
1. Jamila na pete ya ajabu
Jamila imetokea kuvuwatia watoto wengi sana kwa mujibu wa
wadau wetu waliotupatia taarifa hizo
2 Chausiku
Chausiku imetokea kuwa gumzo kubwa katioka maeno ya uswahili |
4 Zena na Betina
5 Hakumu ya ndoa yangu
6 Tom Boy
7 Uliyemchokoza kaja
9 Nendeze Mwali wa Kizaramo ( Sinema hii haina kava)
10 Kwanini Mama
No comments:
Post a Comment