Friday, November 28, 2014

Waigizaji wa kiafrika, Kizungu na vimbwa


                                                                




Waigizaji wengi wa Afrika wanapenda kuiga mambo ya  Ulaya na Marekani.  Kwa  vile mastaa  wengi wa Ulaya na Marekani wanapenda kutembea na vimbwa,  hivi sasa kila  anayejiona staa anatembea na kiumbe. Vipo vitu vya kuiga sio kutembea na viumbwa.  Tuwe makini  na mambo tunayoiga. Mastaa wengi wa Ulaya na Marekani  wanatafuta vimbwa kwa ajili ya kujifurahisha kimapenzi,  hayo yaliwekwa na  mwandishi mmoja wa habari za kijamii nchini Marekani, Josephine Cris aliandika mtandaoni kuwa, mchezo huo uko sehemu nyingi ulimwenguni licha ya kwamba una madhara. “Mara nyingi wanawake wengi wanatumia mbwa kujifurahisha katika mapenzi,  kwa sababu wanauwezo mkubwa kutumia ulimi kulamba kitu bila ya kuchoka. Wengi hufanya hivyo kwa siri kwani wanajua jamii itawashangaa kama watasikia taarifa zao.  Ni vitendo vinavyochukiza  sana hasa ukichukulia kwamba madhara ya kufanya mapenzi na mbwa yapo wazi. Hebu jiulize, kipi kinachoweza kukuvutia kwa mbwa hadi akupe mshawasha wa kufanya naye mapenzi, kwanza mnyama siku zote ni mchafu na anaweza kukuambukiza maradhi, sasa sijui kwa nini watu wanawatumia kimahaba,” anaeleza Josephine. Kwa upande wa waigizaji wa Afrika, hatujui kama wanahusika au ni kuiga bila ya kujua wanachoiga. Tuwe makini na vyakuiga sio kila kitu tunaiga.

No comments:

Post a Comment