Friday, November 28, 2014

Jeniffer Lopez kama msichana miaka 25 kumbe ana 45

                                                                      



Nadhani wengi watakuwa wanajiuliza huyu dada Jennifer Lopez kila siku anakuwa mdogo, jibu ni hapana anaendelea kuzeeka ila anajua kutunza mwili wake ndiyo maana leo anaonekana kama msichana wa miaka 25 kumbe ni  mwanamama mwenye miaka 45 na ana watoto wawili.  Hebu angalia  mastaa wetu wa kike wanavyojiachia na mabia sambamba na machips na nyama choma hatimaye wanafutuka  na kuwa kama watu wenye mimba. Huwezi kubishana na mastaa wetu  wa tano bila ya kukutana na nne wenye vitambi.  Hakina kitu kinachoharibu mrembo wa mwanamke kama kitambi.

No comments:

Post a Comment