Friday, November 28, 2014

Maajabu makubwa, binti amefunga ndoa na mbwa

.
                                                         Kufundoa na mbwa

Binti amefunga ndoa  na mbwa kwa ajili ya kuondoa mikosi na majanga  ya kimaisha, harusi hiyo imefanyika hadharani bila ya kuficho chochote. Wazazi wa mwanamke wafurahia kama vile binti yao ameolewa na mtoto wa tajiri namba moja duniani. Hebu niambie duniani inaelekea wapi?  Tutafakari na kumrudia mungu  wangu kwa kufanya ibada ya kweli na sio ibada za kinafiki. Hatuwezi kujua lini duniani itafika mwisho kama vitabu vya dini vinavyosema.

No comments:

Post a Comment