Friday, November 28, 2014
Jacky Wolper mkali wa mapozi kuliko wenzake nchini Tanzani
Wolper pozi hili kama sio yeye
Wolper, hapa utakubali yeye
Wolper, na hapa mnasemaje alivyopozi
Hapa unasemaje jamani
Ametulia kama hataki kuongea
Anaonekana ana mawazo vile.
Tukubali au tubishe ukweli utabaki vile ulivyo kama mwanadada Jacky Wolper ni mwigizaji wenyewe mapozi ya kipekee, mapozi yake yanamuongeze mvuto wa hali ya juu katika picha zake anazopiga mara kwa mara. Baadhi ya watu wamesikika wakisema kwamba Wolper ni mkali wa mapozi katika upigaji wa picha tofauti kuliko waigizaji wenzake. Na ndiyo maana aliweza kuchukua ushindi wa mwanamke mwenye mvuto. Hebu tazama picha hizi utagundua kama huyu binti ni mkali wa mapozi.
Labels:
Jacky,
Mwigizaji,
sinema mapozi,
Wolper
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment