Friday, January 30, 2015

Waigizaji 10 wa Kiume Matajiri Nigeri

 WAKATI fani ya uigizaji filamu ilipoanza kubisha hodi nchini Nigeria, watu wengi hawakuipa uzito. Ilionekana kama vile ni kazi ya kujifurahisha na isiyo na kipato chochote cha maana.Lakini miaka michache baadaye, fani hiyo iliyoonekana kuwa ni kichekesho, sasa imeweza kubadili maisha ya watu wengi nchini Nigeria na kuifanya nchi hiyo iwe maarufu barani Afrika na duniani.Fani hiyo, ambayo ni maarufu zaidi kwa jina la Nollywood, imezifanya filamu za Kinigeria ziwe gumzo duniani kutokana na kubeba uhalisia na upekee wa aina yake. Imetoa ajira  kwa raia na wasio raia katika nchi hiyo na kuwafanya baadhi yao wawe matajiri wa kutupwa.Nollywood imedhihirisha kuwa, Nigeria na bara zima la Afrika hazipaswi kuwekwa pembeni katika masuala ya filamu. Ni fani iliyotoa utambulisho kwa taifa la Nigeria.Kutokana na umaarufu wa filamu za Kinigeria, baadhi ya waigizaji wake, wameweza kujipatia sifa na umaarufu mkubwa, baadhi ya waigizaji hao hivi sasa ni matajiri na wana mvuto na ushawishi mkubwa kwa jamii. Maisha yao ni ya kifahari, wanamiliki majumba makubwa na kuendesha magari ya starehe.Ifuatayo ni orodha ya waigizaji wa kiume  wa Nollywood, ambao ni matajiri kutokana na kulipwa fedha nyingi kwa kucheza.

     
 10. John Okafor (Mr Ibu)
John Okafor (popularly called Mr Ibu) is a top Nollywood actor and comedian. Mr Ibu is undoubtedly one of Nigeria’s most talented comic characters. He is best known for his humorous acting which is often characterised by stupidity, hilarious imbecility and a sharp disconnection from reality. His attitude has created a huge demand for his movies. He is one of the top 10 richest Nigerian actors of our time.

9. Nonso Diobi
Nonso Diobi, a talented and lovable Nollywood actor is among those who have printed their names in gold in the largest African entertainment industry. He has featured in more than 60 movies and is well recognized for his acting prowess.








8. Mike Ezuruonye
One of the most talented actors in Nollywood, Mike is reaping the reward of his talents and this has placed him in an enviable position as a wealthy Nigerian actor.

7. Desmond Elliot
The popular Nigerian actor and director has starred in more than 200 movies including soap operas and a number of television shows. He made his money from acting, endorsements and adverts. He is involved in public relations projects for the Nigerian telecoms giant (Glo)











6. Ramsey Nouah
One cannot make this list without including Ramsey Nouah. The “lover boy” of Nollywood has featured in a huge list of movies mostly romantic films. He made his money through acting, endorsements and adverts.







5. Osita Iheme (Pawpaw)
Osita Iheme, popularly known as Pawpaw after he played the role of ‘Pawpaw’ in the film Aki na Ukwa alongside Chinedu Ikedieze. In 2007 Osita received the Lifetime Achievement Award at the African Movie Academy Awards. Today, Osita is considered to be one of Nigeria’s most famous and richest actors.










4. Chinedu Ikedieze (Aki)
Chinedu Ikedieze popularly known as Aki is best known for acting alongside Osita Iheme in most movies after their breakthrough in the movie Aki na Ukwa. In 2007 Ikedieze received the Lifetime Achievement Award at theAfrican Movie Academy Awards and is one of the 10 wealthiest actors in Nigeria.







 3.  Nkem Owoh (Osufia)
Nkem Owoh who is popularly known as Osuofia following a successful comedy movie he acted is one of the pioneers of comedy movies in Nigeria. His acting is often quite hilarious sharpened by the magical and instinctive use of his talents rather than written manuscripts.








2. Jim Iyke
There is no doubt that Jim Iyke is one of the most popular actors in Nollywood. Jim Iyke has won many awards in Nollywood. He’s a three-time winner of the Teenage Choice Award. He has also won the Best Actor in Nigerian Entertainment Award. His other awards include African Achievement Award, Best Actor of the Year,(Mode Men Award 2010), Sexiest Man in Nigeria (2008), and the Best African Actor (NET Awards). He has made a lot of money from acting, endorsements and his businesses.







1. Richard Mofe Damijo RMD
Richard Mofe Damijo popularly known as RMD, is a Nigerian actor and politician. In 2005 he won the African Movie Academy Award for Best Actor in a Leading Role. In 200, he joined politics and is was appointed the Commissioner for Culture and Tourism in Delta State, Nigeria.

                                                  

No comments:

Post a Comment