Friday, January 30, 2015

Mwigizaji Nigeria Charles Warren amefariki dunia


                                                                       
                                                                   Charles Warren
Mwigizaji maarufu wa kiwanda cha filamu Nollywood nchini Nigeria  ,  Charles Warren amefariki dunia  ghafla alhamisi iliyopita majira ya usiku katika Hospitali moja jijini Lagos ikiwa ni siku moja baada  mchekeshaji maarufu nchini humo anayeitwa Shehu Jibril   kurest in peace.
Charles Warren ambaye ni muumini wa mapenzi ya jinsia moja(Ushoga) alifariki ghafla wakati akifanya mapenzi  na mwenzake aliyetajwa kwa jina la Ajah ambapo ghafla alianza kulalamika maumivu ya kiuno na baadaye maumivu hayo yakahamia mgongoni ambapo baadaye alipata haja kubwa mara nne ndani ya muda wa dakika 30.
Baadaye maumivu hayo yalihamia kifuani ambapo ilibidi awahishwe katika hospitali ya Safeway kwa matibabu zaidi. Rafiki yake aitwaye Ajah ambaye ndiye waliyekuwa wakifanya naye mapenzi alijaribu bila mafanikio kumfanyia masaji kifuani ili kumpunguzia maumivu lakini haikusaidia, Warren alifariki dunia usiku huo huo.
Awali Charles alianza rasmi kazi ya kuigiza mnamo mwaka 2001 huku filamu ya “Mark of the Beast” ikimtambulisha katika ulimwengu wa sanaa nchini Nigeria,  vilevile anakumbukwa kwa kuwa mtunzi wa filamu ya ”Dear Mother”, akiwa ni mtoto wa kiume pekee   kwenye familia ya watoto 6 inayojumuisha baba,  mama na dada zake watano.


Few weeks after the sudden death of Nollywood actor, Charles Warren stories have emanated over the real cause of his death. Julia Blaise Blog (JBB) had earlier gathered that late Warren died after complaining of anal pains, which he got after the embattled practice of ‘sodomy’.
A source had earlier disclosed that Warren was one of the notable dudes in Nollywood, who did not give a damn over whose jaw is broken towards their lifestyle. Well we have always given the story a wave of the hand, till a blog visitor sent a confirmation of the information to us, alleging that he actually said goodbye to this world after having severe anal complications. Please read the message as yours truly cannot say some words.
Read the message below:
“While having s*x with his gay mate, he suddenly felt pains in his waist areas then complained on back aches, the pains got severe, he was said to have passed out stool 4 times within a fraction of 30mints, while the pains spreaded to his chest.
"He was rushed to Safeway Hospital, Ajah, Lagos and as his boyfriend massaged his chest in an effort to ease his agony, Charles breathe stopped!!!” 

No comments:

Post a Comment