Showing posts with label Nigeria. Show all posts
Showing posts with label Nigeria. Show all posts
Sunday, February 1, 2015
Mwigizaji wa Nigeria Muna Obiekwe amefariki
Marehemu Muna Obiekwe wakati wa uhai wake, wengi watamkumbuka kwa uigizaji wake
Marehemu Muna Obiekwe akifikishwa hospital kwa ajili ya matibabu baada ya kuzidiwa na ugonjwa, hata hakuweza kupona, umauti ukamfika
Picha hii ya Marehemu Muna Obiekwe ilionekana katika kituo cha Televvisheni, kilichokuwa ionaelezea kifo chake.
HABARI kutoka Nigeria zimesema mwigizaji maarufu wa kiume wa sinema nchini humo, Muna Obiekwe, amefariki jana katika hospitali ya Festac, jijini Lagos, baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa figo. Vyanzo vilivyokuwa karibu na mwigizaji huyo, vinasema Muna alikuwa akipambana na matatizo ya figo ambayo alikuwa ameyafanya siri kwa muda mrefu kabla ya kumwambia rais wa chama cha waigizaji cha Nigeria (AGN), Ibinabo Fiberesima, ambaye aliendelea kuwa karibu naye.Habari hizo zinasema kwamba tabia ya kutumia sana vileo ya mwigizaji huyo ambaye makazi yake yalikuwa katika mji wa Enugu, inaweza isihusiane na matatizo yaliyosababisha kifo chake. Muna atakumbukwa katika baadhi ya filamu zake kama: He Lives in Me, Songs Of Sorrow, Enemies in Love, It’s Juliet or No One, Wasted Effort na zinginezo.Msanii mwenzake kutoka Nollywood, Nonso Diobi, amethibitisha kifo hicho baada ya kuwepo sintofahamu kutoka kwa baadhi ya watu waliokuwa wakiweka taarifa katika mtandao wa Twitter kuwa Muna hajafariki. Nonso amethibitisha kifo hicho baada ya kuwasiliana na rais wa chama cha waigizaji cha Nigeria (AGN), Ibinabo Fiberesima na kuwataka watu waliokuwa wakipotosha kuhusu kifo hicho kuacha mara moja.
Saturday, January 31, 2015
Waigizaji wa nigeria wenye mvuto kwa watazamaji
Baadhi ya wapenzi na mashabiki wa Nigeria na Ghana wameonyesha wasi wasi wao katika listi zinazochapishwa katika mitandao ya kijamii ikiwataja waigizaji wa kike wa Nigeria na Ghana wenye mvuto. Miongoni mwa orodha iliyotolewa na mitandao mingine ya Kijamii ya Nigeria inaonyesha waigizaji hao hapo chini wanamvuto. Hebu angalia namba moja mpaka kumi.
1. Genevieve Nnaji
2. Omotola Jalade Ekeinde
3. Stephanie Okereke
4. Dakore Egbuson
5. Kate Henshaw-Nuttall
6. Ini Edo
7. Rita Dominic
8. Stella Damasus
9. Tonto Dike
10. Mercy Johnson
Listi imetokea kupingwa na baadhi ya wapenzi na mashabiki na kufikia kutoa listi yao ambayo wameipendekeza mashabiki na wapenzi wa sinema.
1. Genevieve Nnaji
2. Angela Okorie
3. Biola Ige
4. Mary Remmy
5. Doris Ademinokan
6. Yvonne Nelson
7. Yvonne Okoro
8. Lillian Bach
9. Cha Cha Ekeh
10. Martha Ankomah
Baada ya listi hizo, swahilicinema waliandaa listi ya waigizaji ishirini wa kike wenye mvuto. listi hii inatokana na mtazamo wa vigezo vya wanaohusika na blog. Utaangalia listi hiyo na kisha kutoa maoni yako kwa mtazamo wako.
Stephanie Okereke
1. Stephanie Okereke
Genevieve Nnaji
2. Genevieve Nnaji
Nadia Buria
3.Nadia Buria
Monalisa Chinda
4.Monalisa Chinda
5. Omotola Jalade Ekeinde
Ini Edo
6. Ini Edo
Yvonne Nelson
7. Yvonne Nelson
Yvonne Okoro
8. Yvonne Okoro
Dakore Egbuson
9. Dakore Egbuson
Kate Henshaw-Nuttall
10.Kate Henshaw-Nuttall
Jackie Appiah Agyemang
11. Jackie Appiah Agyemang
Halima Abubakar
12.Halima Abubakar
Rita Dominic
13. Rita Dominic
Tonto Dike
14.Tonto Dike
Ebube Nwagbo
15.Ebube Nwagbo
Daniella Okeke
16. Daniella Okeke
Uche Jombo
17.Uche Jombo
Oge Okoye
18.Oge Okoye
Nkiru Sylvanus
19.Nkiru sylvanus
Mercy Johnson
20.Mercy Johnson
1. Genevieve Nnaji
2. Omotola Jalade Ekeinde
3. Stephanie Okereke
4. Dakore Egbuson
5. Kate Henshaw-Nuttall
6. Ini Edo
7. Rita Dominic
8. Stella Damasus
9. Tonto Dike
10. Mercy Johnson
Listi imetokea kupingwa na baadhi ya wapenzi na mashabiki na kufikia kutoa listi yao ambayo wameipendekeza mashabiki na wapenzi wa sinema.
1. Genevieve Nnaji
2. Angela Okorie
3. Biola Ige
4. Mary Remmy
5. Doris Ademinokan
6. Yvonne Nelson
7. Yvonne Okoro
8. Lillian Bach
9. Cha Cha Ekeh
10. Martha Ankomah
Baada ya listi hizo, swahilicinema waliandaa listi ya waigizaji ishirini wa kike wenye mvuto. listi hii inatokana na mtazamo wa vigezo vya wanaohusika na blog. Utaangalia listi hiyo na kisha kutoa maoni yako kwa mtazamo wako.
Stephanie Okereke
1. Stephanie Okereke
Genevieve Nnaji
2. Genevieve Nnaji
Nadia Buria
3.Nadia Buria
Monalisa Chinda
4.Monalisa Chinda
Omotola Jalade Ekeinde
5. Omotola Jalade Ekeinde
Ini Edo
Yvonne Nelson
7. Yvonne Nelson
Yvonne Okoro
8. Yvonne Okoro
Dakore Egbuson
9. Dakore Egbuson
Kate Henshaw-Nuttall
10.Kate Henshaw-Nuttall
Jackie Appiah Agyemang
11. Jackie Appiah Agyemang
Halima Abubakar
12.Halima Abubakar
Rita Dominic
13. Rita Dominic
Tonto Dike
14.Tonto Dike
Ebube Nwagbo
15.Ebube Nwagbo
Daniella Okeke
16. Daniella Okeke
Uche Jombo
17.Uche Jombo
Oge Okoye
18.Oge Okoye
Nkiru Sylvanus
19.Nkiru sylvanus
Mercy Johnson
20.Mercy Johnson
Subscribe to:
Posts (Atom)


























.jpg)


































