Friday, November 28, 2014
Jeniffer Lopez kama msichana miaka 25 kumbe ana 45
Nadhani wengi watakuwa wanajiuliza huyu dada Jennifer Lopez kila siku anakuwa mdogo, jibu ni hapana anaendelea kuzeeka ila anajua kutunza mwili wake ndiyo maana leo anaonekana kama msichana wa miaka 25 kumbe ni mwanamama mwenye miaka 45 na ana watoto wawili. Hebu angalia mastaa wetu wa kike wanavyojiachia na mabia sambamba na machips na nyama choma hatimaye wanafutuka na kuwa kama watu wenye mimba. Huwezi kubishana na mastaa wetu wa tano bila ya kukutana na nne wenye vitambi. Hakina kitu kinachoharibu mrembo wa mwanamke kama kitambi.
Waigizaji wa kiafrika, Kizungu na vimbwa
Waigizaji wengi wa Afrika wanapenda kuiga mambo ya Ulaya na Marekani. Kwa vile mastaa wengi wa Ulaya na Marekani wanapenda kutembea na vimbwa, hivi sasa kila anayejiona staa anatembea na kiumbe. Vipo vitu vya kuiga sio kutembea na viumbwa. Tuwe makini na mambo tunayoiga. Mastaa wengi wa Ulaya na Marekani wanatafuta vimbwa kwa ajili ya kujifurahisha kimapenzi, hayo yaliwekwa na mwandishi mmoja wa habari za kijamii nchini Marekani, Josephine Cris aliandika mtandaoni kuwa, mchezo huo uko sehemu nyingi ulimwenguni licha ya kwamba una madhara. “Mara nyingi wanawake wengi wanatumia mbwa kujifurahisha katika mapenzi, kwa sababu wanauwezo mkubwa kutumia ulimi kulamba kitu bila ya kuchoka. Wengi hufanya hivyo kwa siri kwani wanajua jamii itawashangaa kama watasikia taarifa zao. Ni vitendo vinavyochukiza sana hasa ukichukulia kwamba madhara ya kufanya mapenzi na mbwa yapo wazi. Hebu jiulize, kipi kinachoweza kukuvutia kwa mbwa hadi akupe mshawasha wa kufanya naye mapenzi, kwanza mnyama siku zote ni mchafu na anaweza kukuambukiza maradhi, sasa sijui kwa nini watu wanawatumia kimahaba,” anaeleza Josephine. Kwa upande wa waigizaji wa Afrika, hatujui kama wanahusika au ni kuiga bila ya kujua wanachoiga. Tuwe makini na vyakuiga sio kila kitu tunaiga.
Maajabu makubwa, binti amefunga ndoa na mbwa
.
Kufundoa na mbwa
Binti amefunga ndoa na mbwa kwa ajili ya kuondoa mikosi na majanga ya kimaisha, harusi hiyo imefanyika hadharani bila ya kuficho chochote. Wazazi wa mwanamke wafurahia kama vile binti yao ameolewa na mtoto wa tajiri namba moja duniani. Hebu niambie duniani inaelekea wapi? Tutafakari na kumrudia mungu wangu kwa kufanya ibada ya kweli na sio ibada za kinafiki. Hatuwezi kujua lini duniani itafika mwisho kama vitabu vya dini vinavyosema.
Kufundoa na mbwa
Binti amefunga ndoa na mbwa kwa ajili ya kuondoa mikosi na majanga ya kimaisha, harusi hiyo imefanyika hadharani bila ya kuficho chochote. Wazazi wa mwanamke wafurahia kama vile binti yao ameolewa na mtoto wa tajiri namba moja duniani. Hebu niambie duniani inaelekea wapi? Tutafakari na kumrudia mungu wangu kwa kufanya ibada ya kweli na sio ibada za kinafiki. Hatuwezi kujua lini duniani itafika mwisho kama vitabu vya dini vinavyosema.
Chike Ike akitesa Dubai kwa raha zake, Mambo ya fedha
Chike Ike kwenye boti
Chike Ike akiburudika na kahawa
Chike Ike akipata mchana mwema
wakiwa ndani bori
Chike akiwa kwenye fukwe
Chike akiwa kwe boti
Marehemu Marijani Rajabu aliyekuwa mwanamuzki wa Dar Intenatinal aliwahi kuimba pesa ni sabuni ya roho. Mwenye pesa akifika watu wote wanasimama kila analosema watu wanalipa uzito hata kama ni wazo la kijinga. Ndiyo ilivyokuwa kwa muigizaji wa Nigeria, Chika Ike akitumia fedha anavyotaka katika fukwe ya jiji Dubai ambapo unaambiwa alikodi boat kwa dola elfu 24,000 kwa muda wa siku mbili tu, na kila alilosema alisikilizwa na lilitekelezwa kwa kasi ya ajabu. PESA ni mfalme wa dunia, ukibisha wewe bisha lakini ndio ukweli wenyewe.
Thursday, October 30, 2014
Mwandishi yafichua machafu ya watu
Wapenzi wa kazi za Haji Dilunga, tarajieni kupata sinema nyingine ya Mwandishi wa habari. Script nimeandika katika ubora wa hali ya juu, Kama uliburudika na Kwanini Mama sambamba Jamila na Pete ya Ajabu. Mwandishi ni zaidi ya kile unachofikiria. Ni sinema aliyotumia muda mwingi kufanya utafiti wa namna ya fani ya habari inavyotumika kwa faida ya wajanja wachache. Ni ujanja gani? Na nani anafanya ujanja huo ni kuitafuta DVD ya sinema iliyoingia hivi karibuni. Imetayarisha na Kampuni ya Big One Entertainment. Daima ubora kwanza. Kama kawaida imeatungwa nakuandikwa na Haji Dilunga
Kwanini Mama yatoa wengi machozi
Kwanini mama ni sinema inayozungumzia maisha ya watoto wa kiume wanavyowanyanyasa mama zao na kuwasikiliza wake zao. ni sinema yenye mafunzo ya hali ya juu sio vizuri kuikosa. Stori na script ni kazi ya Haji Dilunga.
Jamila bado inatesa sokoni
Ile sinema ya Jamila na pete ya ajabu bado inaendelea kuvutia wengine,kila kukicha wapenzi na mashabiki wamekuwa wakiizungumzia. Ni sinema inayozungumzia unyanyasaji wa watoto. Imetungwa na Haji Dilunga.
Jamila akicheza na nyani
Jamila akicheza nyani
Jamila akipanda ngamia
Jamila akiwa juu ya ngamia
Jamila akicheza na nyani
Jamila akicheza nyani
Jamila akipanda ngamia
Jamila akiwa juu ya ngamia
Subscribe to:
Posts (Atom)



















