Thursday, October 30, 2014

Mwandishi yafichua machafu ya watu



Wapenzi wa kazi za Haji Dilunga, tarajieni kupata sinema  nyingine ya Mwandishi wa habari. Script nimeandika katika ubora wa hali ya juu, Kama uliburudika na Kwanini Mama  sambamba Jamila na Pete ya Ajabu. Mwandishi ni zaidi ya kile unachofikiria. Ni sinema aliyotumia  muda mwingi kufanya utafiti wa namna ya fani ya habari inavyotumika kwa faida ya wajanja wachache. Ni ujanja gani? Na nani anafanya ujanja huo ni kuitafuta DVD ya sinema  iliyoingia hivi karibuni. Imetayarisha na Kampuni ya Big One Entertainment. Daima ubora kwanza. Kama kawaida imeatungwa nakuandikwa na Haji Dilunga

No comments:

Post a Comment