Waigizaji wa kiume kumi wa Tanzania wenye mvuto kwa wapenzi na mashabiki wanaotazama sinema za kibongo, listi hiyo tumeipata kutokana na kuongea na waonyeshaji wa video katika mabanda ya video. Wakodishaji wa DVD katika maduka ya kukodisha ya jijini Dar es salaam hasa maeneo ya uswahilini kunakotizamwa sana sinema za kibongo, maduka hayo ni maarufu kama maktaba za uswahilini au uswazi. Fuatilia listi ya mwigizaji namba moja mpaka kumi. Muhimu kuzingatia ni listi ya blog yetu, sio mawazo ya watazamani wa nchi yote.
1. Salim Ahmed aka Gabo
2. King Majuto
3. Haji Adam
4. Jacob Stephen aka JB
5.Lucas Lazaro Mhuvile .ak.a Joti
6. Rammy Galis
7. Hissani Muya a.k.a Tino
8. Abdul Mohamed a.k.a Ben Branco
9. Haji Mboto
10.Musa Kitale
No comments:
Post a Comment