Waigizaji wa kike kumi wa Tanzania wenye mvuto kwa wapenzi na mashabiki wanaotazama sinema za kibongo, listi hiyo tumeipata kutokana na kuongea na waonyeshaji wa video katika mabanda ya video. Wakodishaji wa DVD katika maduka ya kukodisha ya jijini Dar es salaam hasa maeneo ya uswahilini kunakotizamwa sana sinema za kibongo, maduka hayo ni maarufu kama maktaba. Fuatilia listi ya mwigizaji namba moja mpaka kumi. Muhimu kuzingatia ni listi ya blog yetu, sio mawazo ya watazamani wa nchi yote.
Riama Ally
1. Riama Ally
2. Shamsa Ford
Salma Jabu
3. Salma Jabu
Irene Paul
4. Irene Paul
Cathy Rupia
5.Cathy Rupia
Wellu Sengo
6. Wellu Sengo
Elizabeth Chijumba
7.Elizabeth Chijumba
Hamisa Mabeto
8. Hamisa Mabeto
9. Jennifer Kyaka
Flora Mvungi
10. Flora Mvungi
No comments:
Post a Comment